Our Products-Swahili - Wema Foundation
We Are In A Mission To Educate Society!
+255 787 541 703
Image
Bidhaa na Huduma zetu

Bidhaa Asilia zilizobeba madini ya kipekee toka ardhini, yenye ubora kukinga na kuponya magonjwa.

Amazing Natural Soil Super Product

Amazing Green soil ni udongo unaopatikana Shetula iliyopo  katikati ya Israel na Lebanon.  Unabeba madini ya asilia ya kipekee yenye uwezo wa kuulinda mwili na kuponya magonjwa. Dkt. Riser kutoka Ujerumani, mtafiti wa udongo huo anasema duniani kote, Shetula ina madini ya kipekee kwa afya ya mwanadamu kwa kulinda na kuuponya mwili. Kwa ubora wake wa kipekee wakauita Amazing Green Soil Super Natural Therapy.

Faida Zake;

  • Huondoa kemikali zote mwilini, hudhibiti vyanzo vyote vya Cancer na magonjwa mengine.
  • Huzalisha chembe chembe hai mwilini.
  • Huboresha Kinga za mwili, pia huongeza damu.
  • Hujenga mwili upya, kwa aliepata ajali huunga mifupa na kuponya jeraha kwa haraka, huponya vidonda vya tumbo.
  • Hurekebisha mfumo wa uzazi kwa wale ambao wameshindwa kushika mimba.
  • Ni nzuri kwa wafanyakazi, Wanafunzi na kwakuwa ina imarisha akili ni nzuri kwa ukuaji wa watoto n.k

Amazing Soil Contents Are Calcium, Magnesium, Iron, Copper, Carbon, Nitrogen. Oxygen, Hydrogen, Phosphorus, Zinc etc..

Learn More

MYRRH Amazing Super Tree – MANE MANE

Huu ni mmea wa asili unaopatikana katika Shetula ambayo iko kati ya Israeli na Lebanoni. Ni nzuri sana kwa afya kwa sababu imebeba madini asilia ya kipekee yaliyofyonzwa kutoka ardhini.

MYRRH SUPER TREE – Tiba ya Asili ya Kushangaza

FAIDA;

  • Huongeza Fluids ya Synovial kwenye joints kama vile Magoti, Spinal Cord elbons n.k.
  • Hufungua Njia ya Mkojo na Kuimarisha Uboho.
  • Kimiminika cha manemane kikichanganywa na mbegu husaidia kurekebisha ufanyaji kazi mzuri wa figo, hutibu Kisukari, Kiharusi, Cholesterol, aina zote za Saratani na Moyo pia.
  • Pia huponya Ukosefu/Upungufu wa Nguvu za kiume.

HAKUNA UGONJWA MKUBWA MBELE YA MYRRH Amazing Super Tree – MANE MANE

Learn More
0
Manemane Utomvu sales
Manemane Utomvu sales
0
Manemane Liquid Sales
Manemane Liquid Sales
0
SOMISEED/SOIL Sales
SOMISEED/SOIL Sales

I acknowledge the research made by Dr. Alberto Lorenzo from Italy.

MYRRH Amazing Super-Tree (MANE MANE).